Friday, August 7, 2026

BICO Kama unayo hela nunua kule exchange OKX

 

 Ndugu zangu maisha yanaendelea kubadilika,kuhusiana na mambo ya crypto currency.Katika pitapita yangu nikakutana na coin moja matata kidogo inaitwa BICO ipo kule exchange OKX,mwanzo niliijalibu kuinunua ilikuwa na thamani ya bei ya Tsh 41,hiyo ilikuwa siku mbili zilizopita.Leo nimeiangalia nimekuta imepanda Tsh 113.06 na inaendelea kupampu.Chukua hiyo.

 

Na Kama huelewa Jinsi ya kutumia OKX nitafute nikuelekeze ila utalipa hela kidogo kwa ajili ya mafunzo.Maana yanahitaji muda wa kutosha mpaka kuelewa.Na Kama huna OKX EXCHANGE nitaweka link hapa chini itakupeleka moja kwa moja playstore utaidownload na kujaza detail zako.Kumbuka uwe na email au namba ya simu ya kwako na strong password pia na kitambulisho chako

https://okx.com/join/32694409

 

 


No comments:

Post a Comment