Saturday, September 5, 2026

Usitumie Password Moja Kila Mahali

 

20. Usitumie Password Moja Kila Mahali

Ingawa WhatsApp yenyewe inatumia mifumo tofauti ya uthibitishaji, tabia ya kutumia password/PIN moja kwenye huduma mbalimbali ni hatari.Fikiria mtu akipata credential yako ya huduma moja.Kama unatumia taarifa hiyo hiyo mahali pengine, akaunti zako nyingine zinaweza pia kuwa katika hatari.Tumia credentials tofauti kwa huduma muhimu.

21. Usipuuze Dalili za Akaunti Yako Kuwa Katika Hatari

Kuwa makini ukiona mambo yasiyo ya kawaida.Kwa mfano:

  • ujumbe umetumwa bila wewe kuutuma;
  • unaona device usiyoijua kwenye Linked Devices;
  • mtu anasema amepokea ujumbe ambao hukutuma;
  • umepokea verification code ambayo hukuomba;
  • settings zimebadilika bila wewe kubadilisha;
  • kuna shughuli usiyoitambua.

Usipuuze dalili hizi.Chukua hatua mapema.

No comments:

Post a Comment